Featured

Achaneni na “James Bond” wetu, wakaazi wa Bungoma waiambia serikali kuhusu Saleh Wanjala

Thanks! Share it with your friends!

You disliked this video. Thanks for the feedback!

Added by
226 Views
Nadhani hadi sasa habari unazo kumhusu James Bond wa Bungoma! Na huku akiendelea kupokea matibabu katika hospitali ya rufaa ya Bungoma baada ya kuanguka kutoka kwa ndege iliyoubeba mwili wa mfanyi biashara Jacob Juma, Saleh Wanjala ama James Bond wa Bungoma amepata kuungwa mkono na wakaazi wa kaunti ya Bungoma.

Watch KTN Live http://www.ktnnews.com/live
Watch KTN News http://www.ktnnews.com
Follow us on http://www.twitter.com/ktnnews
Like us on http://www.facebook.com/ktnnews
Commenting disabled.