Featured

J&R MTITA UNISEX SALON & BARBERSHOP

Thanks! Share it with your friends!

You disliked this video. Thanks for the feedback!

Added by
191 Views
J&R MTITA UNISEX SALON & BARBERSHOP
Ni jibu lako pale unapohitaji salon ya kike na kiume
Tunanyoa nywele mitindo yote, kufanya scrub, facial, manicure & pedicure, magic, breach n.k.

Kwa kina dada tunasuka mitindo yote, tunafanya simple make-up na bridal Make-up, weaving na kubana nywele mitindo yote.
Usisahau, tunapokea oda za maharusi, kukodisha magauni ya harusi
na bei zetu ni nafuu sana.
Karibu tukuhudumie.
.
DAR ES SALAAM: tupo
Buguruni, Rozana mkabala na Kota za polisi
Sudani, Temeke karibu na Royal giraffe Hotel
Mbagara / kongowe mtaa wa kichangani na
Mtoni kwa azizi ally karibu na zahanati ya mtoni
.
PWANI: tupo
Kibaha kwa mfipa
Kibaha- kongowe mtaa wa ungindoni
.
pamoja na Dumila, Morogoro
.
Tembelea instagram yetu @officialjrmtita_barbershop
Au tupigie kwa namba: 0745-884-112
Tunakusubiri ofisini!
.
FOR BUSINESS CONTACT ME:
PHONE: (+255)759191076
EMAIL: voiceoverstz@gmail.com




#VoiceoverTanzania #SwahiliVoiceover #EnglishVoiceover
Commenting disabled.